Gad Malik, meneja mkuu wa LONFORD,

Gad Malik, yeye ni meneja mkuu wa LONFORD, ni kampuni changa ambayo inafanya kazi katika mfumo wa kidijitali. Inafanya kazi katika jiji la Beni jimboni Kivu kaskazini tangu mwezi Oktoba iliyopita. Lengo la kampuni hii mpya ni kuchangia uvumbuzi na maendeleo ya jiji la Beni. Gad Malik anaeleza katika mahojiano haya na Guilaine Kasasya. /sites/default/files/2022-11/231122-p-s-invitegadmaliklonfordbeni-00_web_.mp3