Didier ILUNGA toka jimbo la Maniema

Mwanasheria Didier ILUNGA,  ni mwakilishi wa  msaada kwa kujenga uwezo kwa mfumo wa afya ya jamii, katika UWAKI-Maniema ambayo iko chini ya wapokeaji wa SANRU. Anazungumza nasi kuhusu shughuli za shirika hilo katika maeneo ya vijijini katika jimbo la Maniema na matatizo yaliyojitokeza. Mwanasheria Didier ILUNGA azungumza na Florence KIZA LUNGA ./sites/default/files/2022-11/301122-p-s-invitedidierilungakindu-00_web_.mp3