Laurent Kasindi, mwandishi, ambaye ni anajihusisha katika mabadiliko ya migogoro mjini Goma

Kitabu cha “Ukweli huu unaotudanganya”, cha Laurent Kasindi, kilitolewa mjini Goma na shirika la uchapishaji la “Mlimani”. Ni kwa bei nafuu ili isomwe na idadi kubwa ya Wakongomani. Alipokuwa ziarani Goma, mwandishi, ambaye ni anajihusisha katika mabadiliko ya migogoro katika eneo hilo, alizungumza na vijana juu ya ukweli huu unaotudanganya na uongo ambao umekuwa ukweli maarufu. Laurent Kasindi anazungumzia ukweli huu katika mahojiano haya na Rosalie Zawadi... /sites/default/files/2022-12/22122022-p-s-invitegomalaurentkasindiecrivain-00_web.mp3