Mratibu wa mkoa wa dawa asilia na mimea ya dawa huko Maniema, Kalombola Kapuli Floribert anatueleza kuhusu mtazamo wa waganga wa dawa asilia na mimea ya dawa kuhusu chanjo katika jimbo hili ambapo walikubali kuzingatia utaratibu wa chanjo baada ya siku nyingi za kupinga. Kalombola Kapuli, anazungumza na Florence KIZA LUNGA./sites/default/files/2023-01/101023-p-s-invitekindukalombolakapulicoordotradipraticiens-00_-web_.mp3