FATUMA DALE GENEVIÈVE: Wamama waje kujifunza kazi wanayotaka

Bibi FATUMA DALE GENEVIÈVE ni mkurugenzi wa nyumba ya wanawake ya Maniema. Tangu kuanzishwa kwake mwaka elfu mbili na kumi, nyumba hii tayari imetoa mafunzo na kuwajumuisha katika jamii wanawake mia ine makumi nane na mbili wanaoishi na ulemavu, wanawake waliotelekezwa, wanawake waliotunzwa magonjwa ya kiungo cha uzazi na ambao hawajaolewa. FATUMA DALE GENEVIÈVE anatueleza kuhusu nyumba hii ya wanawake kwenye mahojiano haya na Florence KIZA LUNGA.

/sites/default/files/2024-03/150324-p-s-invitekindufatumagenevieve-00-web_5.mp3