Journal Soir

Habari za jioni 27 Juni, 2025

  • Beni :  Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na Rwanda zinatarajiwa kutia saini mkataba wa amani unaosimamiwa na Marekani mjini Washington hii siku ya tano tarehe makumi mbili na saba Juni mwaka tunao
  • Osaka :  "Hali ya Vijana na Wanawake nchini DRC: Maadili na Umuhimu kwa Jamii za Kiafrika na Kijapani." Hii ndio mada iliyohutubiwa na Waziri Mkuu wa Kongo Judith Suminwa hii siku ya tano katika Chuo Kikuu cha Osaka huko Japani
  • Bunia : Jimboni Ituri, watu tisa wamefariki na wengine wengi kujeruhiwa katika  shambulio jipya la wanamgambo wa CODECO lilirekodiwa hii Siku ya tano asubuhi katika kambi ya  Djangi, tarafani DJUGU. Idadi hii ya vifo bado ni ya muda, vyanzo vyetu vinasema./sites/default/files/2025-06/270625-p-s-journalswahilisoir-00-web.mp3