Mjini Kinshasa: Mazungumzo yakubaliwa na Rais wa Jamhuri yaki démocratiya ya congo;
Huko Bunia, Mashirika ya kiraia ya Ituri yanasikitishwa na mapambano dhidi ya ugonjya wa Ebola;
Articles de la catégorie « Journal swahili »
16/07/2026 - 07:59
Janga la Ebola yapanuka haraka tena sana mtaani Djugu huko tayari maeneo ki afya ya Heritage mkowani Djugu yaguswa na hasa vyumba vya matibabu kufunga milango zao.
15/07/2026 - 15:39
Janga la Ebola laendelea haraka tena sana mtaani Djugu huko tayari maeneo ki afya ya Heritage mkowani Djugu yaguswa na hasa vyumba vya matibabu kufunga milango zao.
15/07/2026 - 07:48
Waganga kunako kituo cha afya ya huko Rwampara mji Bunia wakazia mgomo wao wa kazi. Ikiwa ni wao watumika kunako kituo cha kutibuwa Ebola, wadai malipo ya mshahara wao.
14/07/2026 - 07:58
Wagonjwa wa Ebola arubaini na mbili wali rikodiwa, miongoni mwao wengine ishirini na ine kupoteza maisha kwa mda wa masaa arubaini na nane.
13/07/2026 - 10:47
Hapa Kinshasa Mgomo wa madaktari katika hospitali za serikali umeendelea na wahanga ni wagonjwa kwa sasa ambao hawapewi tena huduma za afya.
10/07/2026 - 09:58
Kinshasa: Kamishna Mkuu wa Umoja wa Mataifa wa Haki za Binadamu alaani mapigano yanayoendelea Kivu Kusini.



