Articles de la catégorie « Swahili »

16/11/2018 - 17:34
Kisangani:Muisho wa mafundisho  ya wana fundi wapolisi mjini Kisangani katika jimbo la Tshopo Beni:shambulizi la wa ADF katika kartaa Oicha mtaani beni jimboniNord Kivu
/
15/11/2018 - 17:32
Kinshasa:fujo imeripuka katika cliniques universitaires sababu ya kufariki kwa mwana funzi alieumizwa kwa risasi juma jana 
/
14/11/2018 - 17:24
Kananga :msaada wa ki-utu-wa Ocha kwa wazaliwa ya Kongo waliefukuziwa inchini Angola Bunia:hali ni mbovu saana katika jela ya Mongwalu jimboni Ituri
/
13/11/2018 - 17:27
Kinshasa:kikao cha mabadirishano ya mafikra kati ya serkali na wanao tumika pamoja
/
12/11/2018 - 17:52
Kinshasa:kutajwa kwa Martin Fayulu Madidi kuwa mgombea wa upinzani kua uchaguzi ujao inchini ,wamemba wa chama cha UDPS wana kasirika
/
09/11/2018 - 18:26
Kinshasa:Shadari Ramazani ana wajibiwa wanaomshutumia utumiaji wa vifaa ya serkali kwa utetezi ya uchaguzi ujao
/
07/11/2018 - 17:44
Kinshasa:hotuba ya upinzani kuhusu wakilishi ndani ya timu la kutetea ukandideti wa Emmanuel Shadari Ramazani
/
06/11/2018 - 17:31
Kinshasa :ujumbe wa umoja ya mataifaa na Oms walizungmuza na waziri mkuu inchini jamuhuru ya kidemocracia ya Kongo
/
05/11/2018 - 17:35
Kinshasa:ziara ya pamoja katibu mkuu makamu wa umoja wa matifaa ausika na amani .
/
02/11/2018 - 17:46
Kinshasa:Polisi walinzi wa kazi za serkali na ya wagombea kiti -cha-uraisi kwa uchaguzi wa disemba ijao walioneshwa leo mjini Kinshasa ,wako zaidi ya mia tano
/