La fin de l'examen d'Etat c’est pour bientôt.
Articles de la catégorie « Journal swahili »
23/06/2026 - 07:14
Maaskofu wa kanisa la katolika wameweza kutoa msimamo wao kuhusu hali ya inchi ya jamuhuri ya kidemocratia ya Congo.
19/06/2026 - 09:23
Baada ya nusu karne, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo yarejea katika hatua ya kimataifa kwa sare ya 1-1 dhidi ya Ureno Jumatano, katika mechi ya Kombe la Dunia la FIFA 2026.
18/06/2026 - 07:23
Siku moja pekee yaki pita bila kuchukua hatua dhidi ya kuenea kwa virusi vya Ebola inchini Congo na Uganda ni nyingi sana.
17/06/2026 - 09:19
Timu ya mpira ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo leo inapambana na Ureno katika mechi ya kihistoria ya Kombe la Dunia 2026.
16/06/2026 - 07:20
Katika jimbo la Ituri, wagonjwa wa Ebola wanaanguka na kufariki barabarani katika mji wa Bunia.
15/06/2026 - 11:22
Shirika za kutetea haki za binadamu zinaomba uchunguzi huru kuweza kufanyika kuhusu maandamano ya upinzani ya siku ya tano mjini Kinshasa, huku yakikosoa pia matumizi ya nguvu dhidi ya waandamanaji
12/06/2026 - 06:40
Zaidi ya milioni moia ya wanafunzi wa shule la mwisho ya msingi wameanza tayari hii alhamisi mitihani yao ya kiserkali kote inchini DRC na hasa kunako inchi jirani ambako macenta zingine zili chimi
11/06/2026 - 08:20
Shirika la kutetea haki za binaadam yatowa adharani ripoti kuusu ukeukuaji wa haki za binaadam zilizo endeshwa na jeshi ya inchi ya Rwanda na waasi wa M23, ususan, kuorodheshwa pasipo kutaka, kushi



