Umoja wa bara la Afrika ulikusanya huko Lomé jumapili na jumatatu, mashirika za kitaifa kwa kuchambuwa kinacho endelea kuhusu usalama pande mwa mashariki mwa inchi ya DRC na katika maziwa makuu.
Articles de la catégorie « Journal swahili »
09/06/2026 - 11:37
Hospitali kuu ya serkali mjini Bunia yapewa msaada wa vifaa vya kujikinga kwa upekee dhidi ya maambukizi ya Ebola.
08/06/2026 - 12:46
Watu watano walio zaniwa kuwa na ugonjwa wa ebola katika gereza kuu la Bunia, baada ya vipimo walionekana kuwa hawana ugonjwa huo. Ila, hatua za kuweza kujikinga zina endelea kuchukuliwa.
05/06/2026 - 05:27
Waziri wa elimu ya kitaifa, Raisa malu, alizindua rasmi siku ya ine mjini Kinshasa Mtihani wa Taifa wa Kumaliza Elimu ya Msingi (ENAFEP).
04/06/2026 - 07:58
Siku ya tatu mjini Kinshasa, hakukua na msongamano wa magari kwenye barabara kuu kadhaa kama kawaida mjini humo.
03/06/2026 - 10:08
Wafanyakazi wanne wa shirika la msalaba Mwekundu walijeruhiwa vibaya siku ya kwanza mjini Bunia.
02/06/2026 - 15:21
Kutokana na Ebola huko Ituri, Serikali ya Kongo na Shirika la Afya Duniani wamehakikisha juhudi zao ajili ya kulinda afya ya watu.
16/04/2026 - 16:43
Habari za asubuhi, siku ya tano 170426



