Kwilu: Madaktari wa hospitali za serkali wameanza mgomo.
Kananga: Kulifanyika siku ya pili hii siku kuu ya wahanga wa vita vya Kamuina Nsapu.
Articles de la catégorie « Journal swahili »
08/07/2026 - 10:19
Jimboni Kivu Kaskazini, wanainchi wanakimbia maeneo ya kusini mwa mtaa wa Lubero Kutakana na kujipanga huko kwa wapiganaji wa AFC / M23.
08/07/2026 - 10:08
Usafiri wa wateja kati ya mji wa Bunia, Mungwalu na Aru umeweza kusimamishwa kwa zaidi ya wiki moja ili kuweza kupiganisha ugonjwa wa Ebola.
03/07/2026 - 17:47
Rais wa RDC, Félix Tshisekedi, na mwenzake wa Afrika ya Kusini, Cyril Ramaphosa, wamehimiza mshikamano wa Waafrika na kuheshimu haki za raia wa kigeni.
03/07/2026 - 09:32
Vuguvugu la waasi la AFC/M23, hali pashwi chukua tena kama kundi la wenye kujihami silaha pekee, yadokeza ripoti mpya ya Wataalamu wa Umoja wa Mataifa kuhusu DRC.
03/07/2026 - 09:24
Jamhuri ya kidemocratia ya Congo yachukua wadhifa wa urais wa baraza la usalama la umoja wa matafia, tokea iyi jumatano, julai 1.
29/06/2026 - 08:19
New York, Mwakilishi wa Umoja wa Mataifa inchini DRC amezungumzia katika Baraza la Usalama kuhusu hali ya mauwaji yanayoendelea Kivu Kaskazini na Ituri wakati ambako haki za binadamu zinakuwa ziki
26/06/2026 - 07:38
La RDC, le Rwanda, les États-Unis, le Qatar, le Togo et la Commission de l’Union africaine se sont réunis ce jeudi à Londres.
25/06/2026 - 07:55
Les Léopards de la RDC n'ont pas réussi à rugir face à la Colombie et se sont inclinés 1- 0. Suivez la déception des supporters congolais.



