Articles de la catégorie « Swahili »

06/06/2019 - 17:34
Kinshasa:mwanzo ya mitiani ya serkali ya muisho ya shule la msingi inchini jamuhuri ya kidemocracia ya Kongo
/
05/06/2019 - 17:44
Kinshasa:profesa AndréMbata  ana jibu kwa masemi ya wafanya siasa ajili ya amri kusailiwa na raisi wa jamuhuri ya Kongo 
/
04/06/2019 - 18:15
Beni:watu kumi na wawili waliuawa na manyumba kuporiwa na wa edf katika kartaa Butanuka mjini Beni humo jimbo la nord Kivu
/
03/06/2019 - 17:33
Kinshasa:benki ya kimataifaa ina tosha dola milioni mia tano nambili kwa kupunguza hatari kuletwa na afya na malisho mbovu inchini ya kidemocracia ya Kongo
/
31/05/2019 - 18:05
Kinshasa:Mahiti ya Etienne Tshisekedi imeacha nyumba ya wafu hospitalini Cinquantenaire  imefikishwa kunako kiwanja cha kandanda Martyrs des pentecotes mjini Kinshasa.
/
30/05/2019 - 18:47
Kinshasa:burudani ya matayarisho ya kufika kwa mahiti ya marhemu Etienne Tshisekedi  Kinshasa:matayarisho kwa kilio cha Etienne Tsisekedi wa Mulumba
/
29/05/2019 - 17:33
Kalemie :maandamano ya wakaji wa mji wa Kalemie humo jimbo la Tangayika  Lubumbashi:mashirika za kutetea haki za bin adam zina shutumu masemi ya mbunge Donat Tshimboj
/
28/05/2019 - 17:30
Bunia:watu sita waliuwawa kwa shambulizi la vijiji saba vya mtaa wa mahagi katika jimbo la Ituri
/
27/05/2019 - 17:25
Bunia:Shambulizi la wanamugambo katika vijiji nyingi za mtaa wa Djugu Kananga:masambo ya kuawa kwa watalamu wawili wa umoja ya mataifaa jimboni Kasai 
/
24/05/2019 - 17:36
Kinshasa:Ziara ya kazi ya raissi felix Antoine Tshisekedi Tshilombo inchini Africa ya kusini Kinshasa:Hotuba ya kamanda gemadari Kasonga kuhusu jeshi la taifaa
/